Hemarrhoids..uvimbe katika sehemu ya haja kubwa na kutoa damu

Pandamlima

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
143
Reaction score
13
Wadau tunaomba msaada wa tiba ya huu ugonjwa,,,kama ni asili au ya tiba ya kisasa tutashukuru kuna mwana jf mwenzetu anasumbuliwa,,,,,uvimbe huu ni shida kila aendapo haja kubwa maumivu ni kali na damu humtoka

ushauri tafadhali
 
Google, kwa neno hilo au ' bawasili' hilo utapata majibu mengi na nihakika fuata tu maelekezo na tumia dawa hiyo .utapona hii ni kwakuwa nilishaona mtu rafiki mwenye tatizo kama hilo tukagoogle na kufuata malekezo sasa hali inaendelea vema kwa jinsi ninavyoandika sasa.
 
Hata wamasai wana dawa nzuri juu ya huo ugonjwa unapaka uvimbe unapukutika kwa kasi ya ajabu, it is amazing jaribu kuwacheki
 
anywe maji mengi matunda kwa wingi na mboga mboga
 
Wadau tunaomba msaada wa tiba ya huu ugonjwa,,,kama ni asili au ya tiba ya kisasa tutashukuru kuna mwana jf mwenzetu anasumbuliwa,,,,,uvimbe huu ni shida kila aendapo haja kubwa maumivu ni kali na damu humtoka

ushauri tafadhali
Mpe pole zangu mgonjwa ukikosa Dawa nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Wadau tunaomba msaada wa tiba ya huu ugonjwa,,,kama ni asili au ya tiba ya kisasa tutashukuru kuna mwana jf mwenzetu anasumbuliwa,,,,,uvimbe huu ni shida kila aendapo haja kubwa maumivu ni kali na damu humtoka

ushauri tafadhali

pata Aloe,Lycopene na Fur sea oil.0755931083 nitakujulisha sehemu zilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…