upupu255 JF-Expert Member Joined Sep 4, 2024 Posts 418 Reaction score 550 Mar 20, 2025 #1 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla akikabidhi sadaka ya Iftari kwa watendejaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Unguja katika Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla akikabidhi sadaka ya Iftari kwa watendejaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Unguja katika Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 12,151 Reaction score 44,120 Mar 20, 2025 #2 Kulikuwa na haja gani kutoa huo msaada wa kiimani na kujitangaza? Huo ni ukafir kwa 100%
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,397 Reaction score 101,204 Mar 20, 2025 #3 Zanzibar-ASP said: Kulikuwa na haja gani kutoa huo msaada wa kiimani na kujitangaza? Huo ni ukafir kwa 100% Click to expand... Kampeni hiyo
Zanzibar-ASP said: Kulikuwa na haja gani kutoa huo msaada wa kiimani na kujitangaza? Huo ni ukafir kwa 100% Click to expand... Kampeni hiyo