Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

Dogo siku zote ni matatizo.... he thinks amesha-achieve kila kitu
 
hahahahahaha Hemedi hujatulia,maana nimecheka mpaka basi!!!
 
Huyu dogo hana heshima wala adabu.
Kibaya kingine hana shule wala exposure.
Yaani hatari tupu.
 
kwani amesema hayo maneno wapi?kwenye shindano?au media za kenya?

kama amesema kwao huko kinondoni sioni tabu..
 
Umesahau kasema Ian Am TOO HOT u can't be hot like me!!
 
kesho magazeti ya udaku yatamtangaza kama shujaa. Dogo ni mtupu kabisa hafai hata kwa Bongo Star Search
 
Siwezi kushangaa kwa sababu the guy alikuwa ni msindikizaji parse!

Leo ilikuwa ndo grand finale...mshindi keshapatikana?
 
<br />
<br />
kayasema live mbele ya tv baada ya kuperform

duh....kwa ujumla vijana wa kitanzania wengi wanaonekana
hawako na adabu na ustaarabu wa ku behave vipi mbele watu
wazima tena nje ya nchi....
tunafikiri umarekani ndo fashen....ki gangster gangster rap hivi.....
sishangai...
 
Hana kitu kichwani, ila anapenda sana kuji proud kwa kila kitu.
 
mitoto iliyolelewa na bibi bana......haikui hata siku moja...
 
Umeme umewahiiiiii...................!!!!

Top 3 ni Mshechu, Alpha na Davis.

Sina hakika kinafuata nini baada ya hapa?
 
Back
Top Bottom