Mshindi ni Alpha, Msechu na David......big up Msechu
Sorry, sikufuatilia vizuri hili shindano,
Hawa wanagawana zawadi au?

mitoto iliyolelewa na bibi bana......haikui hata siku moja...
muwe mnahukumu kwa haki ian ndiye alianza kumtolea lugha mbaya baada ya majaji wenzake kumsifu hemed na kumfananisha na michael jackson ,
muwe mnahukumu kwa haki ian ndiye alianza kumtolea lugha mbaya baada ya majaji wenzake kumsifu hemed na kumfananisha na michael jackson ,
kinondoni mentality............

hata mimi sikuwa nafuatilia sana.......lakini nimeona wameshinda watatu......ngoja wenye kufahamu watujuze zaidi

hawajazungumzia lolote juu ya nani atachukua pesa.wamewataja hao washind 3 tu

hemedi amefikilia kwa kutumia masaburi
you cant take the village out of him,kinondoni is still inside him..lol
Mbona ulikuwa unafuatilia kwa makini sana,mara hii tena unaruka.
Au ze lugha ya malkia inasumbua? Habari yake binafsi bana!

Hemed,

kamuita jaji kuwa ni mbeya tena mshamba, teana akaajiriwe mashambani na kuwa mkulima.

Akaendelea kuponda kuwa Ian hana single wala movie.

Huyu dogo must be mad.

yaani ametia sana aibu, yaani hata wafanya maigizo wenzake wameaibishwa, kwani wote wanaonekana ni mazezeta.

muwe mnahukumu kwa haki ian ndiye alianza kumtolea lugha mbaya baada ya majaji wenzake kumsifu hemed na kumfananisha na michael jackson ,