hata mimi kiukweli sikumfurahia hata kidogo,unajua yule kijana amezidisha maringo na dharau....sijui angekua mwanamke angekuaje?kwel anatakiwa abadilike maana naona umaarufu unampeleka pabaya!!
Senkyu..........basi acha atukane bana...anastahili

He is all of the above
kumbe tupo weni eeeh jamaa hafai kabisaa na matusi yake!aliniboa sana mwanaume kujipamba pamba kama shoga vile na mitusi kibao, tena kaidhalilisha bongo ile mbaya.
Hapo kwenye red kuna ukweli kuhusu hemed lakin The boss..si kwa wasanii wote..kuna madogo wana talent kweli kwenye fani tofautitatizo ni tz media....
mtu hana genuine talent but anakuzwaa mno.....
mitoto iliyolelewa na bibi bana......haikui hata siku moja...

Nachukia mawazo ya aina hii...kwani bibi yake ndie anaemfunza usharobaro na dharau?!

Yaani jana hadi nilishika mdomo Hemed alivyomponda Ian, nikaogopa na kujiuliza hivi huyu anapata wapi ujasiri huu? Kweli ameiaibisha Tz, Ian is the best among other judges kwa mtazamo wangu coz anakupa live bila chenga ukasirike, umpende umchukie is non of his business
alisema jana baada ya kupafomkwani amesema hayo maneno wapi?kwenye shindano?au media za kenya?
kama amesema kwao huko kinondoni sioni tabu..
Hakufanya tafiti,Ian ana movie tena the best of the best zaidi ya maigizo anayocheza yeyeHemed,
kamuita jaji kuwa ni mbeya tena mshamba, teana akaajiriwe mashambani na kuwa mkulima.
Akaendelea kuponda kuwa Ian hana single wala movie.
Huyu dogo must be mad.
Kamuaibisha mamake,babake, wajomba zake na dada zake sio watz woteYaani jana hadi nilishika mdomo Hemed alivyomponda Ian, nikaogopa na kujiuliza hivi huyu anapata wapi ujasiri huu? Kweli ameiaibisha Tz, Ian is the best among other judges kwa mtazamo wangu coz anakupa live bila chenga ukasirike, umpende umchukie is non of his business
samahani mkuu kinondoni hatuna watu wenye akili wazi kama masaburi km hemed,huyu atakua anatoka ilala ndio wana hizo sample za wabana pua na mipasho,tutake radhi mkuuyou cant take the village out of him,kinondoni is still inside him..lol