Hemed awaangukia mashabiki lakini.......

Kwahiyo U-jairo, U-baba Riz, U-Zomba, U-fisadi nk sio upumbavu eh?

watanzania hatujui cha kustahimili na kipi na kutostahimili........... we are a confused state, and Hemed is just another rubbish sharo-uharo

Huyu nae hana tofauti yeyote na Hemedi, bila shaka ni pacha wake

kwakweli hemedy alichofanya si kizuri ila alichofanyiwa ian nimefurahi sana... i wish angekifanya mtu mwingine asiye mtanzania ingekuwa safi sana kale kajamaa kanatuchukia sana watz.. kifup ckapendi. ila hemed your too much, sikiliza ushauri wa mashabiki wako ingawa mi si mmoja wao

Ian pimbi tu size yake!..... big up to PHD kwa kujutia alichofanya

Huyu nae hana tofauti yeyote na Hemedi, bila shaka ni pacha wake

<br /
hemedi ni kama katuni tu .ana chamaana juu ya jaji yule.kama kuna watu wanaunga mkono upuuzi wa hemedi wanakasoro kubwa kawa hemedi

...if you think Education is expensive, try Ignorance.

Dah umenikumbusha haya maandishi niliwahi kuona yameandikwa kwenye baiskeli zamani

hivi mwanaume unakula pipi kijiti kwa maringo huku unarembua unataka tukufanyaje wanaume wenzio?? You are born this way...

Jamani wengine hata hatuijui hiyo hemedi imekaa vipi ijapokuuwa anajisifu ni super staa.

Hebu mwenye picha yake atuwekee tafdhali

unaweza tapka ukiina picha yake. Amemzid dada yako kwa kujipamba.

Tatizo dogo hakwenda kuimba bali kuuza shepu. Alifikiri yuko kwenye maigizo pale? Ian waz rait dhoo he did more than dare

Hemedi ni mbumbumbu tu, i don't think whether he's a really superstar. Tatizo la watu wa aina ya Hemed ni kutokuwa na shule kichwani. Kwanza HAJUI KUIMBA, hata hizo bongo movie alizoonekana ni MADUDU MATUPU. Hakuna kitu pale, i bet HE'S A GAY.

Hivi huyu Hemed anaangalia movies kweli au...?? Isijeikawa hakuwa amezaliwa enzi za Egoli; Ian ni actor kwenye Egoli - series moja maarufu sana Africa. Halafu ukitaka kupaa kimataifa katika sanaa, inabidi uwe na heshima na usitafute sifa zisizo za msingi. Sasa anafikiri Tusker watamfikiria hata kidogo kwa kitendo cha kutaka kupigana na Ian...? Yaani badala ya kujenga uhusiano mzuri na wadhamini ili walau awe anapata opportunities zingine yeye anaharibu. Au anafikiri hakuna watu wa kuimba kwenye matamasha ya Tusker...? Hajui other sponsors pia wanaangalia uwezo wake wa ku-control temper pamoja na vituko vyake vya kugombana kwenye tamasha kubwa kama lile East Africa?

Aangalie wenzake walivyokuwa wanarespond kwenye majibu ya Ian. Aangalie mashindano mengi duniani, kama hakuna jaji mmoja anayekuwaga strict...!!

Anaomba msamaha huku anasema hajutii.. toba isiyo ya kweli ni kazi bure..

Tata hii ndiyo kawaida kwa mashindano ya aina hii na hata ukiangalia ya nje yako hivyo hivyo - yaani wanakuponda mpaka unaona hufai kabisa. Hii ni katika kukujenga wewe kisaikolojia, kwani usidhani kwamba ukiwa superstaa mashabiki watakusamehe pindi ukivurunda. Watakuzomea na hata kukutwanga au kukurushia nyanya na mayai mabovu, jee na hapo utalia au utamtukana nani?

Lazima vijana wajifunze kuweza kuhimili criticisms, wachukulie kama ni challenge na waboreshe kazi zao ilii ziwe nzuri.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…