HEMED KIVIYO, unazi wako kwa hiyo timu utakufanya usifanikiwe kama mwanahabari wa michezo.

asee labda kwa swala la kuonesha unazi hapo kweli so weledi ila kwakweli hua naipenda sana stye yake akiriport michezo. hua nakaa kimya mpaka anamaliza baada ya hapo naangua kicheko cha hatari!!
 
Hana jinsi, huwa anafanya hivyo simba ikicheza na mwingine ila utamtambua akiwa anaongelea simba na yanga, au akifanya mlinganyo wowote wa simba na yanga, LAZIMA ataibeza simba na kuifagilia yanga!

Si ni binaadam ana madhaifu yake, mchukulie poa ukiwakumbuka hawa
1. Juma Nkamia
2. Abdul O Masoud
3. Ahmed Jongo
4. Omar Jongo etc hao watangazaji na walikuwa wanazi wa Yanga na Simba lakini tuliwavumilia nawe vumilia
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] miaka mitatu Simba haijawahi kaa kileleni zaidi ya masaa 24....Hii Kali
 
ITV wamechemsha Mtangazaji anasauti kama amekalia kitu au yupo Maliwato anakamua gogo sauti yake dah... anakera kumsikiliza.... hawa ndio wale Wafanyakazi wa ipp media wasioajiliwa... so jamaa anajipigia debe Awe msemaji wa Yanga.... kwa sauti baya lisilo na mpangilio na bila utamu wa maneno masikioni ni kero unasikiliza huku unatamani amalize haraka aondoke...
 
mkuu kwa taarifa kivuyo ni mwanachama simba sasa anakuaje mnazi wa yanga acha majungu jamaa anapiga kazi
 
Timu yenu mbovuu unaaanza kumshushia lawama kivuyo badala ya kuwashushia lawama akina aveva & co
 
Waandishi wanatakiwa kuwa objective wafanye uchambuzi wa kina bila kuonesha mwelekeo wa 'kesi'.
Mihemko, unazi, na mahaba yanafanywa pembeni lkn sio waziwazi. Huu ndio weledi, na ni kuwatendea haki walaji wa taarifa zao lakini pia ni kuutendea haki mchezo wenyewe (fair play)
 
Nampenda,namkubali sana Kivuyo,sanaaaaa.
Siku asipokuwepo kwenye habari za michezo nahuzunika sana.
 
mkuu kwa taarifa kivuyo ni mwanachama simba sasa anakuaje mnazi wa yanga acha majungu jamaa anapiga kazi
Mmmh si kweli. Akiwa mwanachama naacha kuishabikia...!!!
 
Huyu jamaa MKUDA SANA alikosewa kuwa dume..
 
Huyo jamaa fala sana. Anapoanza kutangaza huwa nabadilisha chaneli. Kuna siku nimemkuta mtaani anabishana na mashabiki wa Simba kuhusu ubora wa timu yake (Yeboyebo). Sijui kama ni professional huyu au ni kanjanja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…