Wanajamvi,
kuna mtangazaji wa ITV huwa anaripoti michezo kwa Dar es salaam kwa kweli nimetokea kupenda anavyoripoti kwa kweli. Amefanikiwa kubuni sauti ya kipekee inayomvutia msikilizaji mpaka mtu unakuta huwezi kubanduka kumsikiliza..hasa kwa jinsi anavyochanganya mikogo ya sauti.
Big up sana Kivuyo and keep it up!