Hemed PHD: Napenda wanawake waliofungashia haswaa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506


Star wa bongo movie na bongo fleva kutoka Bongo Hemed PHD a.k.a Fernando Papi ametamka wazi kuwa anapenda kutoka kimapenzi na mijimama kuliko wasichana wembamba.

Akizungumza na Enewz Hemedi alisema kuwa yeye hana chaguo la wanawake wembamba na alishajaribu kuwa nao lakini alishindwa na kuwataka aina hiyo ya wanawake kukaa mbali naye.

“Mimi sipendi mwanamke mwembamba napenda mwanamke ambaye amejaaliwa rehma zake na Allah, mwanamke ambaye amejazia na wala si mifupa ”, alisema Hemed.
 
Kweli hata mimi!!mwanamke aliyejazia na ana shepu nzuri nyuma mzigo wa kutosha eeeeehh balaaaaa, usafi muhimu ikulu huko!!
 
ATAKUWA MUUMIN WA SUPU YA UTUMBO AKA 0713
Achana na mawazo ya ajabu ajabu, sio kila anaependa mkia anapenda kutumia mlango wa nyuma.

Sio kweli pia kua wanawake wenye mikia peke yao ndio wanaruhusu mlango wa nyuma kupitika.

Kupenda aina ya umbile la mwanamke au mwanaume ni jinsi mtu anavyopenda na haihusiani na kwenda kula nyuma.
 
Mimi napenda mademu wembamba ndio ugonjwa wangu, watoto fulani kama Flavian matata au shadeya.

Midude michafu kama Gigy namwachia Hemed.
 
Huyu jamaa ye ninkujisifu tu kihusu wanawake hana maendeleo yoyote makubwa kama bàadhi ya wasanii wenzake ye anapenda misifa tu kwao tanga ukipaona utafikiri si kwa wazazi wa star ye wanawake tu sijui kama hata ana kiwanja au kijibanda japo cha vyumba viwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…