Hemed PHD: Nina mwezi mmoja na nusu sijaoga

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Wakati akifanyiwa interview kwenye kipindi Cha block89 Cha Wasafi fm Hemedi amesema yeye apendi kuoga na niliwahi kukaa mwezi 1 na nusu bila kuoga na ninapiga mademu Kama kawa.
 
Huwa naona hemed anaongea mambo yasiyo ya kweli ili mrad aongelewe
 
siku hizi na joto hili kutooga mwezi mmoja ni rekodi,hongera kwake superstar wa kimasikini mazafakeni
 
Mwanaume analamba lips huyu, si ajabu na yeye analambwa ndio maana anakua mpuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…