Hemed suleiman P.H.D amfunika T.I.D

hivi hemed huwa anaimba nini zaidi ya kubana pua?
Fani za watu zimevamiwa mweeh
 
ni hemedi huyu wa bongowood au..
 
huwa namwonamwona pale kino nyuma ya mwanamboka jirani wanauza ktmoto kuna wadada wa kitanga wanakaa mule sijui analelewa mule ama ni dada zake sielewi
 
huwa namwonamwona pale kino nyuma ya mwanamboka jirani wanauza ktmoto kuna wadada wa kitanga wanakaa mule sijui analelewa mule ama ni dada zake sielewi
hahahahahahaahahahahah du....hakai mule!
 
huwa namwonamwona pale kino nyuma ya mwanamboka jirani wanauza ktmoto kuna wadada wa kitanga wanakaa mule sijui analelewa mule ama ni dada zake sielewi

home kwao!!!!pale kwa mama geof wanapouza kitimoto pembeni!
 
Ivi Hemed kumbe bado yupo??
duh!wasanii wa kibongo sijawaona siku mingi sana mauzo yao,inabidi jpili hii nizame bills,sasa sijui kale kautaratibu kao kakujazana pale j2 bado kapo..sema pale sometime kunakuwa changanyikeni kama ambiance hadi kunaboa.
 
ama kweli dunia iko mwishoni
 
hehehe! sizungumzii kupendeza, samahan sana! nazungumzia kazi zao za kimuziki sawa MUUZA SURA??
hedem yah ata akivaa bikini atapendeza ni mrembo kwa kweli, hongera zake.
 
hehehe! sizungumzii kupendeza, samahan sana! nazungumzia kazi zao za kimuziki sawa MUUZA SURA??
hedem yah ata akivaa bikini atapendeza ni mrembo kwa kweli, hongera zake.
Kili music awards!!!ngoma ya hemed iitwayo usiniache ipo na f.y.I hii ngoma ametoa video tu!audio haijawa released!TID ana ngoma mpya kama mbili lakini hamna iliyobamba!TID wa jana si wa leo!!!kina ommy dimpoz ndo wanaibeba top band!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…