mmh yan unarefer kiwango cha muziki kupitia kili awardz??
si wazembe tu watu kibao na vipaji vyao wameachwa, wamechagua watu kulingana na interest zao sio kipaji!
hehehe ndugu me hemed simkubalii yan! sion anachofanya ni muuza sura kama jina lako lolz!
ww endelea kumkubalii OVER!
Mi hemed nakukubal had kesho washamb ndo hawakuelew wanasem we mtot wa mama wao n wadada at a wakudis hemed wew n HB, unajua kutupia pamba , una talent ,tie bangi tu yule we ni mkaleeeee nakukubal had kufa yaan luv you phd
Mi hemed nakukubal had kesho washamb ndo hawakuelew wanasem we mtot wa mama wao n wadada at a wakudis hemed wew n HB, unajua kutupia pamba , una talent ,tie bangi tu yule we ni mkaleeeee nakukubal had kufa yaan luv you phd
Yule mkali wa siku nyingi toka kinondoni TID hatimaye apata mpinzani wa kweli katika uimbaji,pamba na nyota kung'aa kwa watoto wazuri toka kwa P.H.D nae toka kinondoni ambaye jana Billz alionyesha umwamba wake mpaka TID akapanic kuendelea na show....big up P.H.D!!!!
hivi hemed huwa anaimba nini zaidi ya kubana pua?
Fani za watu zimevamiwa mweeh
Muuza Sura = hemed.....kinacho endelea hapa ni promo japo kua bado saanaaa kwa TID kwenye kuimba utasubiri milele,one thing i like about you ni "self appreciation" keep it up son!!
ha ha ha sawa kaka,ila hapo kwenye red vipi?.....watoto wa kino andaeni show ya kumkaribisha dc wenu mpya Makonda (out of Topic).TID ni mkali sana na hata PHD najua hilo, hapa nilizungumzia hiyo show ilivyokuwa!...sema babu unafeli kukomalia kama mimi ndo hemed
ha ha ha sawa kaka,ila hapo kwenye red vipi?.....watoto wa kino andaeni show ya kumkaribisha dc wenu mpya Makonda (out of Topic).
TID ni mkali sana na hata PHD najua hilo, hapa nilizungumzia hiyo show ilivyokuwa!...sema babu unafeli kukomalia kama mimi ndo hemed
hehehhehe!ume edit bab!...usifanye hivyo mzee!matusi tuliyotukanwa na mrisho yanatosha!anatupa dc jitu boya kabisa
Mi ndo kabisa... na hivyo ulivyomdadavua ndo alivyo... anyway, cjamuona muda mrefu lakini nilivyoumuona mara ya mwisho na mwili wake huku baadae akiendelea kuringia uzuri nikawa najiuliza hivi tafsri ya uzuri ni rangi ya ngozi au nini hasa! Hemed is entertainer, that's all, lakini muziki haijatokea nikamkubali!hata mimi sijawahi kumuelewa kwakweli, simkubali popote kuanzia uimbaji,uigizaji hata uvaaji, na alivyonenepa ndio akawa kituko, afadhali hata yule hemedy wa tpf(aloshiriki mwanzo) alikuwa na mvuto, huyu wa sasa walaaa, tid pamoja na kutumia madawa bado hemedi hamfikii hata robo kwa kuimba.