Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla;
"Uongozi haununuliwe, ukiona mtu ananza kuhangaika huko anapita kutembeza senti huyo hakusudii kuwatumikia watu. Hiyo sio aina ya Uongozi bora"
"Wanawake msiwe ngazi kuwapandisha Wanaume kwenye Uongozi"
Video: ZANZIBAR YETU (YouTube)