Hemedy"PHD" aalikwa zambia kuigiza filamu..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Msanii wa filamu za kibongo, Hemedy suleiman "PHD" amealikwa nchini zambia kuigiza filamu inayoitwa "Tangled mess",akishirikiana na mastaa wa zambia ,mshiriki wa Bba 8,sulu banda na wanamuziki maarufu nchini humo.

NO IMAGE ATTACHED..
 
Honestly,huyu jamaa akiwa kwenye interview ananiboa sana lakini anapokuwa anaigiza,jamaa anafanya vizuri...
Na kwasababu namfahamu kama mwigizaji na si interviewee basi kiujumla anafanya vizuri.
 
Kwan huko zambia kuna muvi industry ya maana??

Bora Hata hapa bongo

Zambia Hamna dili
 
Phd ndo nani?

Jamaa ni msanii wa filamu (Maigizo) na mwanamuziki pia hapa Tanzania. Jina lake kabisa ni Hemed Suleiman na la kuigizia ni Hemedy. Sasa issue ya PHD nasikia anamaanisha President of Handsome Tanzania.
 
PHD ni Pretty Huge Dude hiyo yako ni PHT mkuu
 
Jamaa ni msanii wa filamu (Maigizo) na mwanamuziki pia hapa Tanzania. Jina lake kabisa ni Hemed Suleiman na la kuigizia ni Hemedy. Sasa issue ya PHD nasikia anamaanisha President of Handsome Tanzania.

kwa kuongezea niliskia pia akisema kirefu cha PHD ni perfect huge dude.
 
Back
Top Bottom