Hence shown

Hence shown

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kwa kitendo cha Yanga kupata ushindi wa magoli 5 kwenye mechi 7 ndani ya msimu mmoja (huku mashindano mbalimbali yakiwa bado yanaendelea) na kuwabamiza vibaya CR Belouizdad (mabingwa mara nne mfululizo wa ligi kuu ya Algeria), wameonesha pasipo shaka kuwa wao ni bora sana msimu huu. Kwenye mathematics tumezoea kusema 'hence shown'

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Hii nahisi tulikua tunaitumia sana kwenye ile Topic ya Circle kama sijaingia chaka maana na mimi hesabu😂😂😂

#Hence Proved
 
Kwa kitendo cha Yanga kupata ushindi wa magoli 5 kwenye mechi 7 ndani ya msimu mmoja (huku mashindano mbalimbali yakiwa bado yanaendelea) na kuwabamiza vibaya CR Belouizdad (mabingwa mara nne mfululizo wa ligi kuu ya Algeria), wameonesha pasipo shaka kuwa wao ni bora sana msimu huu. Kwenye mathematics tumezoea kusema 'hence shown'

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Yaani, show that X = Y by graphical method

Unamalizia tu na lugha za kihesabu au hata kwenye Engineering, HENCE SHOWN..!!
 
Kwa kitendo cha Yanga kupata ushindi wa magoli 5 kwenye mechi 7 ndani ya msimu mmoja (huku mashindano mbalimbali yakiwa bado yanaendelea) na kuwabamiza vibaya CR Belouizdad (mabingwa mara nne mfululizo wa ligi kuu ya Algeria), wameonesha pasipo shaka kuwa wao ni bora sana msimu huu. Kwenye mathematics tumezoea kusema 'hence shown'

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
😂Hence proven
 
Back
Top Bottom