Hennessy ni overrated

Halafu yamejaa mafeki nadhani.
 
Sawa, badilisha mapazia ya kichina mkuu.
 
So far pombe kali ambazo nmezifurahia ni tequila, na sababu kuu ni hali ya mwili kesho yake.
Kwa kiasi kikubwa hangover yake ni ndogo sana na manageable compared na ukifurumusha haya madude mengine.
Pia pombe kali zenye rangi hazishauriwi sana. Bora clear liquor.
Kama budget ni ya kuunga unga kunywa Camino.
Kama nafuu ipo pata Agavita au Patron (very smooth tequila).
Lakini kama nguvu ya noti iko kunywa Don Julio.
Wengi wanapenda kutumia limao na chumvi, lakini mimi n mfuasi wa nanasi na red pepper (japo hii combo kama sio mzoefu utawaka hatari)
 
Mimi zungumzia chakula chochote kwangu ni bure, ila mchunga ndio wenyewe kwani una radha nzuri sana ambayo hauwezi kuipata kwenye chakula chochote kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…