Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
hivi tunavyoongea,SINDIKA ameshasaini mkataba wa miaka minnena KONVINGA FC-NORWAY,timu ya daraja la kwanza hiyo mwanawane.Amesisisitiza ni 'mkataba mnono' wa miaka minne,ila ameomba wakala wake asitaje kiwango cha pesa anachokula
muda huu naandika thread,sindika anashughulikia flat ya kuishi yeye huko norway,na kufungua akaunti ambayo 'kitita' hicho kitakuwa kunaingia
dah!MPIRA UNAKUA SASA TANZANIA
HONGERA SANA BABA!
muda huu naandika thread,sindika anashughulikia flat ya kuishi yeye huko norway,na kufungua akaunti ambayo 'kitita' hicho kitakuwa kunaingia
dah!MPIRA UNAKUA SASA TANZANIA
HONGERA SANA BABA!