View attachment 2011555
Henry Ford ni raia wa Marekani na mwazilishi wa Ford Motors. Mr Ford ni mmoja wa wanzilishi wa viwanda vya kuunga assemble cars.
Duu!! Kwa hiyo hizi Ford za sasa kama Ford Ranger, Ford Everest, Ford Focus, Ford Mustang, Ford Fiesta, Ford Edge nk. ndo zilianzia huko!! Kweli maisha ni safari ndefu sana.