Uchaguzi 2020 Henry Kilewo aomba tena nafasi ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga - CHADEMA

Uchaguzi 2020 Henry Kilewo aomba tena nafasi ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga - CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mtia nia Henry Kileo (kushoto) akirejesha fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafa ( 480 X 640 ).jpg
Henry Kilewo ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kichama Kinondoni pia ni Katibu wa Dar es salaam Kuu, Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa.

Hapa akikabidhi fomu yake kwa Katibu wa Wilaya Mh Lembruce Mchome aliyekamatwa na kuweka mahabusu kwa tuhuma za kupiga picha gari la mkurugenzi wa TISS lakini akashitakiwa kwa kusambaza picha za ngono ! kesi ingali bado ipo mahakamani
 
Hawa vijana wetu wa chama chetu pendwa huwa wanakubalika Sana ila Sema NG Vu ya dola dharimu hua inawakataa.Lakini ipo siku kwa nguvu ya Umma watapewa Haki zao.
 
Back
Top Bottom