Henry Kilewo ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kichama Kinondoni pia ni Katibu wa Dar es salaam Kuu, Mjumbe Baraza kuu na Mkutano Mkuu Taifa.
Hapa akikabidhi fomu yake kwa Katibu wa Wilaya Mh Lembruce Mchome aliyekamatwa na kuweka mahabusu kwa tuhuma za kupiga picha gari la mkurugenzi wa TISS lakini akashitakiwa kwa kusambaza picha za ngono ! kesi ingali bado ipo mahakamani
Hawa vijana wetu wa chama chetu pendwa huwa wanakubalika Sana ila Sema NG Vu ya dola dharimu hua inawakataa.Lakini ipo siku kwa nguvu ya Umma watapewa Haki zao.