Henry Mdimu Alifanya yake Times FM

Henry Mdimu Alifanya yake Times FM

Richard Mlangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
380
Reaction score
193
Namkubali sana Henry Mdimu, he is a great entertainer !
Enzi zile akiwa times FM katika kipindi chake kilichoitwa kituo cha kazi, hakika ilikuwa burudani, alifanya yake.
Ilikuwa ikifika saa 3 asb kila redio utakayosikia iwe ni kwy daladala, hotelini, madukani n.k ni kituo cha kazi.
I dont know what happened maana sasa times fm naona kama imepoteza mvuto hv.
Hiki kipindi chao kipya cha hatua tatu cha kina steve nyerere na sinta bado sana !
 
henry mdimu,.! Mi simjui labda ukibadili herufi moja ya jina lake la pili nitamjua.
 
Mbona Steve Nyerere simsikii tena kwenye hatua 3 ya times fm
 
Back
Top Bottom