Namkubali sana Henry Mdimu, he is a great entertainer !
Enzi zile akiwa times FM katika kipindi chake kilichoitwa kituo cha kazi, hakika ilikuwa burudani, alifanya yake.
Ilikuwa ikifika saa 3 asb kila redio utakayosikia iwe ni kwy daladala, hotelini, madukani n.k ni kituo cha kazi.
I dont know what happened maana sasa times fm naona kama imepoteza mvuto hv.
Hiki kipindi chao kipya cha hatua tatu cha kina steve nyerere na sinta bado sana !