Mama wa afya yetu ana mkakati gani? Aliweza sana kwenye Covid je huku vipi?A serious liver infection caused by the hepatitis B virus that's easily preventable by a vaccine.
This disease is most commonly spread by exposure to infected bodily fluids.
Symptoms are variable and include yellowing of the eyes, abdominal pain and dark urine. Some people, particularly children, don't experience any symptoms. In chronic cases, liver failure, cancer or scarring can occur.
The condition often clears up on its own. Chronic cases require medication and possibly a liver transplant.
Chanjo ni elfu 80 za kitanzania ina chanjo tatuKumbe ina matibabu yake,sijawahi kusikia mtu kapona hepatitis B
Matibabu yake ni pesa ngapi?
Japo chanjo yake sio gharama
Mbona ni gharama kwa maisha ya kawaida ya mtanzania..?Chanjo ni elfu 80 za kitanzania ina chanjo tatu
Ya kwanza ni baada ya mwezi mmoja na ya mwisho ni baada ya miezi 6
Busu tu linatosha kukuangusha ardhini...!Mnapopima ngoma kabla ya kunyanduana, mkumbuke pia kupima na HEPATITIS B
Naskia pia inaambukizwa kwa kutiana[emoji29]
Nafikiri kupona inategemea na stages...Kumbe ina matibabu yake,sijawahi kusikia mtu kapona hepatitis B
Matibabu yake ni pesa ngapi?
Japo chanjo yake sio gharama
Ulivyo kitombi unapaswa kuwai mapemaMbona ni gharama kwa maisha ya kawaida ya mtanzania..?
Sina namna itabidi nikachomwe tu
Ungejua hata usingeandika hivi...😅Ulivyo kitombi unapaswa kuwai mapema
Gharama ya chanjo naijua...japo huwa sio 80KChanjo ni elfu 80 za kitanzania ina chanjo tatu
Ya kwanza ni baada ya mwezi mmoja na ya mwisho ni baada ya miezi 6
Hakuna Tiba ya hospitali itakayoweza kutibu Maradhi ya Homa ya ini aka Hepatitis B Virus . Labda Hepatitis A au C ndio kuna dawa ya kuweza kutibu hayo maradhi. Ila kuna Dawa za Asili za kuweza kutibu maradhi ya Hepatitis B Virus ukitumia na utapona kabisa. Dawa hiyo mimi ninayo kwa mwenye kutaka anitafute kwa wakati wake ili niweze kumtibia maradhi yake apate kupona.Kumbe ina matibabu yake,sijawahi kusikia mtu kapona hepatitis B
Matibabu yake ni pesa ngapi?
Japo chanjo yake sio gharama