HOMA YA INI (HEPATITIS B) Kwa tafiti chache zilizofanyika mpaka sasa imegundulika kuwa kati ya watu 117 ni mtu 1 tu anakuwa ameathirika na virusi vya UKIMWI/VVU lakini ni watu 22 wanakuwa wameathirika na HOMA YA INI sawa na asilimia 18.8% lakini pia vifo vinavyosababishwa na homa ya ini kwa...