Hepi bathdei to Dinazarde

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,119
Reaction score
4,779
Niwaalike wana MMU wooooote kumtakia heri ya kuzaliwa binti/mama dinazarde.

Mimi nasindikiza wishes zangu na beti hii moja ya shairi kama ifuatavyo.

Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa,
Ni siku yenye Baraka, furaha tele kujawa,
Furaha iso pimika, heri zangu kuzitowa,
Heri kwako dinazarde, sikuyo ya kuzaliwa.
 
Umejuaje kama Leo ni birthday yake?

Aisee hili swali linaweza kuwa na majibu mengi.

1. Yawezekana ni ID yangu mwenyewe kwa jina lingine.
2. Namfahamu personaly.
3. Ni rafiki yangu wa JF hivyo ameniambia nikiwa kama rafiki yake.
4. Yawezekana sifahamiani naye hata ila Katika JF kuna sehemu ya kujaza siku yako ya kuzaliwa, so kama profile ni public unaweza iona.


Moja kati ya hayo majibh hapo juu ni jibu sahihi.
 
Kuna uzi unadai jamaa ni male, Sasa tushike lipi
 
Poa mkuu mpe hongera zake bibie
 
hbd dina

vip bado upo NYEGEzi au umehama ??_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…