Hepi besidei LULU

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Jamani leo si ndo tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox river' alipo kuna jf!
 
Sa hizi anakutana na mabush lawyer akitoka huko kesha iva kiutetezi..
 
kumbe kakuakua,ilikuwa bado mwaka mmoko tu marehem ajihalalishie
 
aliukana umri wake,sasa umri halisi umemkuta tena lupago,damn,siku ya kufa nyani miti yote huteleza
 
Kwa hyo katimiza miaka mingapi maana mpenzi wa kanumba naye!mara 17 mara 18..
 
Haijulikani! Manake baba mzazi ana umri wake, mama mzazi ana umri wake,Halima mdee nae kaja na umri wake, mwenye umri nae ana umri wake

Kwa hyo katimiza miaka mingapi maana mpenzi wa kanumba naye!mara 17 mara 18..
 
Haijulikani! Manake baba mzazi
ana umri wake, mama mzazi ana umri wake,Halima mdee nae kaja na umri
wake, mwenye umri nae ana umri wake

Hii kiboko.
 
Wapendwa nilisahau tu kama binadamu
kama ni cheti nilichosoma pale polisi basi lulu aka mama the great leo anatimiza miaka 18
na kwa taarifa zaidi pongezi zimeanza kutolewa kupitia clouds fm na kwingineko

mama the great anatimiza umri huu baada ya kuuadhimisha mwaka jana kwa malengo yake
binafsi kabla ya kupata kisanga na kuamua kuweka wazi umri wake sahihi

kama mmoja wa wana jf napenda kumpa hongera kwa kutimiza umri wa miaka 18 kama
mtu mzima sasa anaitaji kukua na kueleimika na hata akishinda kesi anaitaji kubadilika na asifikiri
kila anaemchekea ni rafiki yake ....

Nakutakia miaka mingi yenye heri na fanaka mungu akupe uvumilivu wakati huu mgumu unapoohuzunika
kwa kufiwa na kipenzi chako wakati huo huo ukisuuzana na jamhuri ya muungani wa tanzania

happy bday again

wale wa src
cloudssssss fm nikiwemo na mie nilieona cheti chake
 
Jamani leo si ndo tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox river' alipo kuna jf!

hahahaha!!! Eti Fox River,,,,nimeipenda mkuu
 
Jamani leo si ndo tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox river' alipo kuna jf!

hapa sasa anasimama kama mtu mzima..
happy birthday lulu mic
 
Ningekuwa mkuu wa gereza ningeshaonja hii nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…