Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
-
- #21
hahahaha!!! Eti Fox River,,,,nimeipenda mkuu
Jamani leo si ndo tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox river' alipo kuna jf!
Jamani leo si ndo
tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa
pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox
river' alipo kuna jf!
Hii kiboko.
kumbe kakuakua,ilikuwa bado mwaka mmoko tu marehem ajihalalishie