hepi mapinduzi dei

hepi mapinduzi dei

matambo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Posts
727
Reaction score
118
salaam,
tuchukue japo dakika moja kuwakumbuka wale wote waliochangia kupatikana kwa siku hii walio hai na the fallen heroes kuanzia kamati ya watu 14,kina john okello 'the field marshal',mohammed abdulrahman babu na wengineo,
swali ni je mapinduzi ya 1964 yamesaidiaje wazanzibari kuishi kama ndugu moja wa taifa moja kama wenzao wa mrima?

mapinduzi daima

oops:the shortest war in history was fought in 1896 between zanzibar and england and zanzibar surrendered after 38 minutes
 
Karume amezungumza yote kwenye maadhimisho ya sherehe hizo huko kisiwani, Pemba.
 
Back
Top Bottom