Here am i

Here am i

Change_down

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
276
Reaction score
53
Waungwana habari zenu, nimesikia sifa za jamiiforums huku na kule, hatimaye nimeona niingie humu nijionee sasa sijui nianzie wapi.

Ushirikiano wenu tafadhali.
 
Karibu sana mkuu

Japo usijisikie vibaya waungwana wasipokuja kukukaribisha

Wapo bize na october 25 watakua hapa kuanzia october 27
 
Muingize chumba cha wageni kiukweli wengine tupo busy mgeni mahitaji madogo madogo muulize kaka kipande
 
Last edited by a moderator:
anzia jukwaa la siasa tukajue msimamo wako kwanza...
 
Back
Top Bottom