Here are more than 110 verses that support driking of alcohol from the Bible

Sawa sijaandika ili nikushawishi ila ili uelewe mtazamo wangu. Siamini vitu vyote viko moja kwa moja kama unavyotaka. Ndio maana Hata Sigara wala Bangi wala Madawa ya Kulevya hayamo kwenye bibilia. Sasa tuseme tuvute sigara, bangi unga kisa haijaandikwa.Nimekupa general view ya wewe kuanzia.
 
Hiyo ya kuamini au kutoamini ni chaguo lako...vifungu hivyo ni kutoka ktk kitabu kitakatifu na sio maneno au maoni yangu...kwa kuanzia...tu siwezi kuanza na maneno na maoni yako kwa kuwa hayatoki ktk kitabu kitakatifu....huna verse...
 
wacha nikajitupiamo kamoko kabaridi
 
Ulevi= kunywa kupita kiasi
Ulafi=kula kupita kiasi.
Si kosa kunywa kwa kiasi
Si kosa kula kwa kiasi.
Tatizo makanisa hayafundishi watu Biblia ili wampende Mungu na kuwa na sifa ya KUJIZUIA,au Kujiweza.Yesu alikunywa Pombe lakini hakuwahi Kulewa.ALIJIWEZA.
Ukisema kunywa ni dhambi basi Yesu naye ni mtenda dhambi.Lakini Yesu hakutenda dhambi hata moja.
 
Nashukuru kwa mchango wako....maandiko umeyaelewa vizuri sana.....Tusaidiane kuelewesha na wengine....
 
kwa mae
Hiyo ya kuamini au kutoamini ni chaguo lako...vifungu hivyo ni kutoka ktk kitabu kitakatifu na sio maneno au maoni yangu...kwa kuanzia...tu siwezi kuanza na maneno na maoni yako kwa kuwa hayatoki ktk kitabu kitakatifu....huna verse...
kwa maelezo hapo juu. Yesu aliwatengenezea wale jamaa kwenye harusi ya kana. kumbuka haikuwa kanisani ni mtaani na pombe iliwekwa kwenye mabalasi kila mtu kunywa hadi achoke. Pia unasema ulevi ni dhambi. kwa hiyo yesu aliwatengenezea watu pombe ili walewe watende dhambi . wakati huohuo unasema yesu anafundisha watu wanywe kwa kiasi wasilewe.
huo mchanyato wa maelezo yako yanayojipinga hakuna yesu anaeweza kufanya hayo.

bibilia ktk hali zote pombe na juice au divai unfemented wine pametumia jina moja hilohilo. unatumia kigezo gani kusema yesu alitegeneza unfemented wine? there is invisible line that separate pombe na ulevi.
 
Kigezo kinachotumika ni bible na verse zote hizo zilizotolewa kwenye bandiko....soma tena uelewe ....ungesoma usingeuliza maswali kama haya
 
Si dhambi kunywa kileo kwa kiasi. Biblia inasema kwamba divai ni zawadi kutoka kwa Mungu ambayo inaweza kufanya maisha yafurahishe. (Zaburi 104:14, 15; Mhubiri 3:13; 9:7 ) Pia, Biblia inaeleza kwamba divai ina faida za kitiba.— 1 Timotheo 5:23 .
Yesu alikunywa divai alipokuwa duniani. ( Mathayo 26:29; Luka 7:34 ) Katika mojawapo ya miujiza yake inayojulikana sana, Yesu aligeuza maji kuwa divai katika karamu ya arusi.— Yohana 2:1-10 .

Kuepuka kabisa
Biblia inaonyesha pindi ambazo Wakristo wanapaswa kuepuka kabisa kunywa kileo:
Ikiwa wengine watakwazika.—Waroma 14:21 .
Ikiwa kunywa kileo kunavunja sheria za nchi.— Waroma 13:1 .
Ikiwa mtu hawezi kujidhibiti. Watu ambao ni waraibu wa kileo na wanaotumia kileo vibaya katika njia nyingine wanapaswa kuwa tayari kuchukua hatua thabiti ya kukomesha tatizo lao.— Mathayo 5:29, 30 .
 
Endelea kunywa kileo ili usilewe.
Haya tutaendelea kunywa hadi madhabahuni tukimwomba Mungu na kumtolea sadaka kama kawaida yetu ...wewe pumzika tu waache Great thinkers waendelee na hoja...
 
Ndiyo maana Waroma hii kitu ni ruksa japo kwa kiasi.
 

Attachments

  • 1478197095280.jpg
    45.1 KB · Views: 72
Asante kwa mara nyingine....this time umekuja na more verses argument yako direct inatoka ktk kitabu kitakatifu lt is self sufficient...The way of Great thinkers...
 
Tafadhali jifunze kujibu hoja mkuu...hoja inasema IS IT A SIN TO DRINK ALCOHOL? then ukapewa more than 110 verses....
Yaani we hata ku copy na k paste huwezi.
Ume copy mada Kama ilivyo online hata kurekebisha hujarekebisha. Ushamba mzigo.

Is it a sin? . Dependence upon individual.
 
Yaani we hata ku copy na k paste huwezi.
Ume copy mada Kama ilivyo online hata kurekebisha hujarekebisha. Ushamba mzigo.

Is it a sin? . Dependence upon individual.
Tupe link ya hiyo mada huko iliko kopiwa....kama huwezi kujibu hoja usitumie akili nyingi NYAMAZA tu..halafu unasema Sin or not a sin depends on lndividual??lt is a big NO! It depends on what Holly scriptures says....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…