Here comes Shingo

Shingo

Senior Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
127
Reaction score
38
Nimefurahi kuwa mmoja wapo wa walioko kwenye hii jamii ya mtandaoni.
Asanteni.

Napenda siasa uchumi na mapenzi.

Shingo
 
Nimefurahi kuwa mmoja wapo wa walioko kwenye hii jamii ya mtandaoni.
Asanteni.

Napenda siasa uchumi na mapenzi.

Shingo
Mapenzi? huyu ni shingo yupi? hembu tueleze vizuri..........
 
Karibu Shingo
mapenzi unamanisha nini lakini? anyway karibu saaana hayo uyapendayo utayapata hapa.
KRIB!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…