Haa I think like a man and act like a lady that's problemWewe hebu acha kuanza kupata akili za kiume hapa...
Nitakuchapa acha hiyo tabiaHaa I think like a man and act like a lady that's problem
Ngoja waje, wataupinga kwa juhudi zote.Huu ujumbe mzito na mkubwa sana...sijui wanaume watauelewa mungu wangu!!!! !!
Mkuu hebu punguza wivu alafu utulize kichwa uandie vizuri.Mnatiana kichaa tu tena wapagani kwa wapagani....ila k. Unadininutajua nani ni mwanaume na nani ni mwanamke
Nichape tu hata siogopi!Nitakuchapa acha hiyo tabia
Naona wameshaanza hapaNgoja waje, wataupinga kwa juhudi zote.
Too much expectations sio tatizo la wanawake tu mate. And ofcoz women will always be women.Mwanaume ni mwanaume hata aweje atabki kuwa mwanaume..... Problems with us women ni too much expectations
Tuwaombee waelewe wallah!Huu ujumbe mzito na mkubwa sana...sijui wanaume watauelewa mungu wangu!!!! !!
Yaani wanaume wengi wa humu sijui wanawake waliwafanya nini!! Hawana jema hata kidogo.Naona wameshaanza hapa
Ka Tom boy wewe acha utukutuNichape tu hata siogopi!
its pretty trueKwani kadanganya?
Kwani kuna tatizo? Ukimuelewa mtu mnaishi raha mustarehe, na dunia itakuwa mahali salama kabisa. So lazima tuelewane.Ajabu sana mtu analilia jinsi ya pili imuelewe why?
Omba na kufunga kabisa ila ata ujumbe wenyewe hauelewekiTuwaombee waelewe wallah!
Kweli...?Mhmmhmhmhmh
Nitake radhi tafadhariKa Tom boy wewe acha utukutu