mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Mkiwa na mimba ni shida... Mkiwa hamna mimba ni shida as well...Nope! we undergo menstrual cycle kama mimba haijaingia pale yai linapoharibika baada ya kutorutubishwa!
Ivi unajua kila mwanamke ana sifa za kuolewa!!! Anaweza kukosa sifa unazotafuta wewe ila akawa na sifa anazotafuta mwenzako! Huoni hadi machangudoa wanapata waume tena wakiwa huko huko kazini!!!!Wanawake mtaanzisha nyuzi nyingi za kuwafariji lakini ukweli utabaki pale pale km huna sifa za kuolewa ...utachezewa tuu na kuachwa....
This is so inspiring!!!
The unconditional love... She loved him looking pass all the flaws and imperfections.
I want to love someone like that!
Amen BAK...Yes I love this story. It is something very special. It is very rare to hear such a beautiful love story in today's World. Waiting for someone who is in jail for 21 years! Good luck and all the best you never know Paprika.
Hakuna wa kukupiga mama..Nchi huru hii..We jiachie tuNaogopa makofi.. Mi sina nguvu za kupigana
Taifa huru.. ?? Since whenHakuna wa kukupiga mama..Nchi huru hii..We jiachie tu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Konyoooo...Subiri adhabu yako usiku
Ndio maana mliambiwa muishi nasi kwa akili.Huyo Wiliiam Golding hajawahi kudumu na mwanamke hata mara moja...
Maisha yake yote alikuwa mpweke tu na kudanda hapa na pale...
No one can understand a woman and be good to her all times...women undergo mensuration cycle every months its their nature to be act they way they do...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nope! we undergo menstrual cycle kama mimba haijaingia pale yai linapoharibika baada ya kutorutubishwa!
Vina mahusiano gani sasa!!Wanawake mtaanzisha nyuzi nyingi za kuwafariji lakini ukweli utabaki pale pale km huna sifa za kuolewa ...utachezewa tuu na kuachwa....
21years!!!!Yes I love this story. It is something very special. It is very rare to hear such a beautiful love story in today's World. Waiting for someone who is in jail for 21 years! Good luck and all the best you never know Paprika.
Yes! Mkaka alihukumiwa jela miaka 25 kwa kuua ila mdada hakumuacha na aliamini wamemsingizia. Alikua namtembelea sana huko jela mpaka akatolewa baada ya miaka 21 kwa parole. Baadae ikaja gundulika kua hakua na hatia. Upendo ulioje!21years!!!!
[emoji33] [emoji33] [emoji33]
21years!!!!
[emoji33] [emoji33] [emoji33]
I know the story ila kinachonishangaza ni huo upendo na uvumilivu.Yes! Mkaka alihukumiwa jela miaka 25 kwa kuua ila mdada hakumuacha na aliamini wamemsingizia. Alikua namtembelea sana huko jela mpaka akatolewa baada ya miaka 21 kwa parole. Baadae ikaja gundulika kua hakua na hatia. Upendo ulioje!
Mmmmmh!!Yes! when you know that you have someone very special to welcome him/her in your heart for the rest of your life.