Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Tena haya majinga ndio yanatuharibia sanaNchi yenyewe ina kina Mwashambwa?
Huyo ndiyo Executive Director wa Shirikisho La Vyama Vya Chawa Wa Mama!Nchi yenyewe ina kina Mwashambwa?
Ya kwanza ilikuwa ya non-immigrant visa. Hii ni immigrant visa!Hebu mnikumbushe ile ya kwanza Bwana Trump alitu suspend kwenye upande gani na hii ni ipi?
Maana uozo wa huyu mama unatuchanganya hata kufuatilia inakera tu, maana ukigeuka huku ban, mara suspended fund, mara to review relationship,mara arrest warranty.
Wanadai in special cases or emergency. Na labda huyo kijana alipata visa kabila ya January 1st.Naomba ufafanuzi kidogo kwa anayefahamu.
Wanasema utoaji wa visa umesimamishwa lakini kuna baadhi ya watu naona bado wanakwenda huko. Hii imekaaje? Mcmillan de Maghayo Kiranga
Juzi hapa kuna kijana nimeona anakwenda Princeton.
Huu ni msimamo wa jumla. Case by case bado inawezekana!Naomba ufafanuzi kidogo kwa anayefahamu.
Wanasema utoaji wa visa umesimamishwa lakini kuna baadhi ya watu naona bado wanakwenda huko. Hii imekaaje? Mcmillan de Maghayo Kiranga
Juzi hapa kuna kijana nimeona anakwenda Princeton.
Huyo alikua ameshapata visa kabla ya muda wa zuio, baada ya tarehe ya kutoka zuio asingeweza kupata.Naomba ufafanuzi kidogo kwa anayefahamu.
Wanasema utoaji wa visa umesimamishwa lakini kuna baadhi ya watu naona bado wanakwenda huko. Hii imekaaje? Mcmillan de Maghayo Kiranga
Juzi hapa kuna kijana nimeona anakwenda Princeton.
Naomba ufafanuzi kidogo kwa anayefahamu.
Wanasema utoaji wa visa umesimamishwa lakini kuna baadhi ya watu naona bado wanakwenda huko. Hii imekaaje? Mcmillan de Maghayo Kiranga
Juzi hapa kuna kijana nimeona anakwenda Princeton.
Kwenye hiyo orodha, ni nchi gani unaiona ina utawala ambao sio mbovu?Nchi 75
Kwa hyo hzo zote zina utawala mbovu
Maana naona mnapanua vidole hapa
Non-immigrant visa freeze ndiyo ilikuwa move yao ya kwanza!Kifupi huyo mwanafunzi kapata visa kwa sababu wanafunzi hawatumii immigrant visa (hii iliyositishwa), wanatumia Non-Immigrant visa, ambayo haijasitishwa.
Ukisoma hiyo taarifa kwenye link post ya kwanza hapo juu utaona wameandika hivi.
"The suspension, which will begin Jan. 21, will not apply to applicants seeking non-immigrant visas, or temporary tourist or business visas, who make up the vast majority of visa seekers. Demand for non-immigrant visas is expected to rise dramatically in the coming months and years due to the upcoming 2026 World Cup and 2028 Olympics both of which the U.S. will host or co-host."
Kirefu.
Visa ya US ina aina nyingi, lakini ina aina kubwa mbili. Immigrant Visa na Non Immigrant Visa.
Tuanze na Immigrant Visa.
Hii ni visa ya watu wanaohamia kabisa US, wanasema wanataka kwenda kuweka makazi kabisa huko bila ya kuwa na mpango wa kurudi kimoja nchi walikotoka. Mfano mtu anayepata Green Card kwa lottery na kuamua kuishi Marekani, au mtu anayeoa au kuolewa na Mmarekani na kuamua kufanya makazi Marekani kimoja.
Hiyo inaitwa Immigrant Visa.
Kwa kuelewa kirahisi, Immigrant Visa ni ile inayoitwa Green Card.
Halafu kuna visa nyingine. Non-Immigrant Visa.
Hii ni kwa mtu anayesema anataka kwenda Marekani kwa kipindi fulani halafu atarudi nchini mwake. Watu wengi wanaoenda Marekani ndiyo wanatumia hii Non Immigrant visa. Hii inajumuisha visa za wanafunzi, watalii, wafanyabiashara na watu wengine wote ambao wanapata visa ya kwenda Marekani, kufanya shughuli zao, na kisha kurudi kwao, kwa nfano Tanzania.
Sasa Marekani ikisema imesitisha utoaji wa Immigrant Visa (Green Card). Wqnadai kuwa wahamiaji wengi wanaoata hizi visa halafu wanakuwa tegemezi kwa serikaki. Na ukiioata hii visa kwa namna fulani serikali ina wajibu fulani kukusaidia.
Mtu anayeenda kusoma anatumia student vusa ambayo ni Non-Immigrant vusa, si Green Card, si Immigrant Visa.
Hiyo inamaanisha mtu anayeomba Non -Immigrant Visa kwenda kusoma Peinceton, suala la serikaki ya US kusitisha utoaji wa Immigrant Visa halitamhusu.
Kwa sababu yeye anaomba Non-Immigrant Visa, si Immigrant vusa (Green Card).
Huyu anayeenda kusoma zake Princeton (bonge la shule by the way, nilikwenda kutembea hapo miaka mingi sana wakati naangalia vyuo vya kusoma, hongera zake) huyu mambo ya Immigrant Visa hayamhusu, yeye anatafuta Non Immigrant Visa, hususan student visa.
Non-immigrant visa freeze ndiyo ilikuwa move yao ya kwanza!
Kifupi huyo mwanafunzi kapata visa kwa sababu wanafunzi hawatumii immigrant visa (hii iliyositishwa), wanatumia Non-Immigrant visa, ambayo haijasitishwa.
Ukisoma hiyo taarifa kwenye link post ya kwanza hapo juu utaona wameandika hivi.
"The suspension, which will begin Jan. 21, will not apply to applicants seeking non-immigrant visas, or temporary tourist or business visas, who make up the vast majority of visa seekers. Demand for non-immigrant visas is expected to rise dramatically in the coming months and years due to the upcoming 2026 World Cup and 2028 Olympics both of which the U.S. will host or co-host."
Kirefu.
Visa ya US ina aina nyingi, lakini ina aina kubwa mbili. Immigrant Visa na Non Immigrant Visa.
Tuanze na Immigrant Visa.
Hii ni visa ya watu wanaohamia kabisa US, wanasema wanataka kwenda kuweka makazi kabisa huko bila ya kuwa na mpango wa kurudi kimoja nchi walikotoka. Mfano mtu anayepata Green Card kwa lottery na kuamua kuishi Marekani, au mtu anayeoa au kuolewa na Mmarekani na kuamua kufanya makazi Marekani kimoja.
Hiyo inaitwa Immigrant Visa.
Kwa kuelewa kirahisi, Immigrant Visa ni ile inayoitwa Green Card.
Halafu kuna aina kubwa ya visa nyingine. Non-Immigrant Visa.
Hii ni kwa mtu anayesema anataka kwenda Marekani kwa kipindi fulani halafu atarudi nchini mwake. Watu wengi wanaoenda Marekani ndiyo wanatumia hii Non Immigrant visa. Hii inajumuisha visa za wanafunzi, watalii, wafanyabiashara na watu wengine wote ambao wanapata visa ya kwenda Marekani, kufanya shughuli zao, na kisha kurudi kwao, kwa mfano Tanzania.
Sasa Marekani ilisema imesitisha utoaji wa Immigrant Visa (Green Card). Wanadai kuwa wahamiaji wengi wanapata hizi visa halafu wanakuwa tegemezi kwa serikali. Serikali ya Marekani ya sasa inataka kuondoa utegemezi huu.Na ukiipata hii visa kwa namna fulani serikali ina wajibu fulani kukusaidia.
Mtu anayeenda kusoma anatumia student visa ambayo ni Non-Immigrant visa, si Green Card, si Immigrant Visa.
Hiyo inamaanisha mtu anayeomba Non-Immigrant Visa kwenda kusoma Princeton, suala la serikali ya US kusitisha utoaji wa Immigrant Visa halitamhusu.
Hata wewe ukitaka kuja kusoma, kutalii, kufanya biashara, kinsingi Marekani visa ya Non-Immigrant bado wanatoa, ila masharti yao ni magumu kama unavyowajua kila siku.
Ndiyo maana aliyeenda kusoma Princeton kapata visa bila tatizo.
Kwa sababu yeye anaomba Non-Immigrant Visa, si Immigrant visa (Green Card).