Here we go again: US to suspend immigrant visa processing from 75 countries (including Tanzania) over public assistance concerns

Well, siwalaumu kwa wao kufanya hivyo maana kusema ukweli watu wengi sana duaniani walikuwa wana take advantage na sheria za uhamiaji za Marekani.

Mtu anabeba mimba huko Handeni, Tanga, halafu akikaribia kuzaa anaenda Marekani kutembea halafu anazalia huko ili mwanae apate uraia wa Marekani.

Birthright citizenship ni moja ya sheria zilizopitwa sana na wakati na watu kibao kutoka nchi zingine wamenufaika nayo.

Kwenye hilo simlaumu Trump.

Hata mimi ambaye ni mhamiaji nilikuwa nawashagaa sana Wamarekani kwa kuwa na sheria kama hiyo mpaka hivi sasa.
 
Hakuna mkuu, kwa non -immigrant visa bado watu wanaingia, kuna sehemu wamezidisha vigezo tu, angalia statement ya ubalozi kwenye tovuti yao, nimeiweka hapo juu post # 19.
 
Barring unforeseen circumstances, tutafika 2028 (mwisho wa utawala wa Trump) tukiwa tumechoka sana!
 
He’s the master of chao! Huwezi jua kesho anaamka na agenda gani.
Mnatakiwa kuifanya Marekani ijione ni nchi nyingine tu isiyo muhimu kihivyo.

Wakiwanyima visa na nyie mnawajibu hivyo hivyo.

Wakiwakatalia kwenda kuona New York City, Grand Canyon, Las Vegas, Hollywood etc, na nyie mnawakatalia kuja kuona Kilimanjaro, Serengeti, Ngoronhoro, Dar es salaam, Zanzibar etc.

Dunia nzima ikifanya hivyo mtaona wananyooka wenyewe.

Ona watu wa Mali na Burkina Faso washaanza.

 
the United States is suspending or limiting entry and visa issuance to nationals of 39 countries
Ahaa, keywords hizi hapa. Nishakuelewa. Na nimeona Tanzania iko kwenye partial suspension tu.

Ndo maana nikashangaa kwasababu sio mtu mmoja tu, kuna mwingine kaenda Brown, mwingine Dartmouth.

Kwa watu wanaoenda ivies kama hao itakuwa wanapewa visa tu, ile prestige sio mchezo.
 
True, lakini wale wenye impact kubwa ndio wanatuangusha. Swala la tariffs, kwa mfano, kama mataifa yote yenye uchumi mkubwa yangemtunishia misuli, angekuwa ameshanyooka!
 
Umepata kwa michongo hiyo hiyo, leo unawashangaa wanaotafuta, wewe ni zaidi ya mchawi, US ******** kuna wabongo wana roho mbaya kuliko police wa bongo
 
Hahaha kila siku ngeu. Mlivyokuwa mnatuma watu kutafuta akina mange mnadhani hamtaongezewa ngeu. Mlipokuwa mnasema Who are you mnadhani akitawaramba? Kuna mtu mmoja nilimsikia akisema, Tanzania sanctions zinakuja. Hii mbona ngeu za rasharasha tu. Subiri sasa mtaona kifuatacho! Hapo pia pesa yenu lazima kiwarambe kama zimbabwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…