Here we go again: US to suspend immigrant visa processing from 75 countries (including Tanzania) over public assistance concerns

I wish watu waache kuiona US is like heaven, bongo unaweza kutoboa pia na ukaishi high quality life kuliko US, nimekaa US more than 20 years
Bongo ambayo maji na umeme ni vya mgao, kijana wa kimaskini kabisa anaanzaje kutoboa hadi kuishi high quality life?
 
Baba yako angetosheka na kijiji chenu huko Madongo kuinama, ungeweza kufika hata Dar es salaam?
Baba yangu alitosheka na Dasalama, kama alivyotosheka babu yangu. Na mimi nimetosheka nayo. By the way, sikuja mjini baada ya kikwete kujenga barabara za lami au kujiunga na UD.
 
Huyu mama anatuharibia nchi.
We paka. Upigwe na mazeruzeru umlalamikie mama wa watu.
Hivi nyie viumbe mna faida yyt hapa Duniani?
Bora wazee wako wangefuga japo kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…