Heshima tu, ila ukweli kila mtu anauona.Romano anamwita ornstein the great
Hii niliiona jana nikacheka sana.Huyu mchezaji anashangaa kuwa hata mke wake alikuwa haijui Trabzonspor ambapo Fabrizio kareport kuwa huyu mchezaji kaikataa hiyo ofa na anatimukia SchalkeView attachment 2282143
Muda mrefu?Hapo kubwa na namba ya Mino Riola, anatudanganya. Jamaa kafa muda mrefu au Mino mwingine huyo.
mdogo ndo ake ndo anaendeleza kazi ila haitwi mino inamana edo hajui kama mino kafa ?Hapo kubwa na namba ya Mino Riola, anatudanganya. Jamaa kafa muda mrefu au Mino mwingine huyo.
toka april tarehe 30Muda mrefu?
Mwaka gani?