Hereni!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
660
Reaction score
104
Hapari wapendwa!

Poleni na mihangaiko ya hapa na pale

tumekuwa tukichangia hoja za hapa na pale, zaidi kuna uzi mmoja hivi tulikuwa tukiuchangia kuhusu suala la wanawake kuvaa wigi, kila mmoja ni shahidi jinc watu walivyochangia/kupinga.

Sasa leo naomba mchango wenu kuhusu suala la wanaume kuvaa hereni na kusuka kama wadada!
Hivi hii ni akili au upunguani?
Hii ndo kwenda na muda au ndo kuchanganyikiwa?
 
wakivaa akina shaq unaweza usione tatizo

but unakuta mtu sura ya kike,umbo la kike na hereni juu
yaani
 
NI sawa hakuna tatizo lolote hapo. Isipokuwa kama utaingia kwenye DINI, kama huna dini y'r r't.
 
Sijui, nadhani ni ngumu kupata jibu muafaka. Jaribu kufikiria kuhusu waMasaai, waMang'ati n.k. makabila ambapo kuvaa hereni ni sehemu ya urembo kwa jinsi zote!

Ila kusuka...mh!
 
mwanasheria mkuu wa kenya now
anavaa hereni
 
He he he mi nadhani inategemea tamaduni na kazi ya mtu..wamasai wa kiume mbona wanasuka...ila @ least uwe na mwili wa gym na ndevu kidogo usije ukapapaswa bure
 
Asha D sijui yuko wapi! Na huyu Sharo-something ndo alikuwa matched nae...
ni hapo siku mamaa unapigilia kiwalo ukiangalia matching earings na hair band mr kasepa nazo!inabidi kila mtu awe na dressing table yake!
 
Kuvaa hereni ilianzia kwenye jeshi la Marekani,wale wanaume waliokuwa wanatoa "tigo"ndo walikuwa wanavaa hereni na vikuku!Kusuka nywele ni aina nyingine ya ukichaa,na anaefanya hivyo ana element za ushoga!
 
Kuvaa hereni ilianzia kwenye jeshi la Marekani,wale wanaume waliokuwa wanatoa "tigo"ndo walikuwa wanavaa hereni na vikuku!Kusuka nywele ni aina nyingine ya ukichaa,na anaefanya hivyo ana element za ushoga!

Hapo nakupata, sio siri element za kuchora 7 zipo, inakuaje mwanaume uvae hereni kama za dadaako, usuke nywele ka mamaako afu ujiite dume?
Tuachane na zile za asili kama za wamasai ambao huvaa hereni wakiwa ndani ya mavazi yao ya asili, sasa we haupo kwe asili afu umetoga masikio, nyusi, nk mfn Aliekuwa mtangazaji wa EATV Ben K. Sasa ile ni asili au ni nini?
 

Punguza makali ya maneno dogo!
 
hakuna kitu nachukia kama mwanaume kuvaa mikufu

nachukia zaidi pale anapovaa HERENI
Halafu nachukia na kukasirika pale wanapovaa MILEGEZO
na huwa nanuna nikiona wanaume wakitembea barabarani na vikaptura mpaka "maumbile" yao yanayowasababisha kuitwa wanaume yanapojichora kama yalivyo kwenye hivyo vikaptura !!!

yaani nachukia nachukia nachukia.....
natoka kwa sasa... nitarudi kumalizia!!!!!!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…