Heri hii forum ya 'Malove Malove'. Big up!

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
2,696
Reaction score
740
Jamani kwenye forum za Jukwaa la Siasa na Uchaguzi 2010 watu wanaparurana. Kumejaa udini, siasa za maji machafu, n.k. Yaani nafikiri watazivunja hata computer zao!

Yaani forum hii raha tupu. Mie baada ya kuhama kwenye forum hizo mbili, nimeongezeka uzito kilo mbili. Halafu mke wangu (my wife) ananisifu kuwa siku hizi nimekuwa mme mwema ghafla.
 
Mwingine ataanzisha thread kulalamika utoto na utovu wa adabu umezidi.
 


Mh,sio wewe uliyekuwa unatafuta wachunaji humu,vipi umeshawapata?
 
Bora jukwaa la MMU linaleta positive changes ndani ya mwili wako na ndani ya nyumba yako.....endelea kufaidi MMU
 

teh teh utakuwa mhaya tu wewe....:teeth:
 
jaribu kuwaambia wale wa kule kwenye siasa mkutane kuongea mustakabali wa nchi au waambie wale wa kwenye dini mkutane kwa ajili ya maombi uone.....lakini hapa MMU watu tunakula bata bana.....wacha kabisa........he he he....hapo tar 27/12 sijui itakuwaje.......karibu lakini
 

Mmmmmmmmmmhhh?????!!!!!!!!!!!!!
 

Sidai tukulu :whoo::whoo:
 
Mambo ya Kikubwa hakuna longo longo. Pictures speak louder than mere politics!
 

Ha ha ha Kashaija bwana umenifurahisha kweli umeongezeka uzito?? Ukiingia humu lazima ukomae na ubadili mwenendo kuna kitchen party, bachelor party na kila kitu humu utajifunza kutokana na makosa na mawazo ya humu MMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…