The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
ha ha ha kashaija bwana umenifurahisha kweli umeongezeka uzito?? Ukiingia humu lazima ukomae na ubadili mwenendo kuna kitchen party, bachelor party na kila kitu humu utajifunza kutokana na makosa na mawazo ya humu mmu
teh teh utakuwa mhaya tu wewe....:teeth:
Nimebadili kabila. Wahaya sasa hivi ni watani zangu. Mke wangu na wanangu ni Wahaya.
nataka nikufanyie hii kitu
teh teh utakuwa mhaya tu wewe....:teeth:
Ha ha ha Kashaija bwana umenifurahisha kweli umeongezeka uzito?? Ukiingia humu lazima ukomae na ubadili mwenendo kuna kitchen/bag party, bachelor party na kila kitu humu utajifunza kutokana na makosa na mawazo ya humu MMU
Dena naomba nifanyiwe kitu hiki. Niko interested na zawadi za kina mama wa JF.
Si umeona jina hilo. Actuary ni wa kure kure kwa kina Rwegoshora na Kashaija!!!!
Waitu unaweza kubadili dini sio kabila umekwisha be proud bwana to be mhaya aaahhh unaniangusha iwe bojo
utavalishwa gauni wewe shauri yako
Mkuu upo? karibu tena............habari gani ya kupotea baanaa
mnh shuzi limepata mjambaji!!!!!!!!!!!!!:A S crown-1::A S crown-1:
Mwingine ataanzisha thread kulalamika utoto na utovu wa adabu umezidi.
mwe!!!!!!!!!:A S 114::A S 114::A S 114::A S 114:
Maandiko yanasema mtu hataishi kwa mkate tu ila kwa kila.......................................... Jambo la msingi ni kuwa hakuna siasa tupu bila mapenzi wala mapenzi tupu bila siasa. Vyote ni vyetu na ni lazima vyote viende kwa pamoja. Nenda kule na huku mradi tu usizidishe! Utanenepa zaidi
gud then
kp t up
Rose hebu nikumbushe kama niliwahi kuona post au comment yako kwenye siasa...