Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Malalamiko yamezidi sana kuhusu ugumu wa uchumi, mikopo, na mdororo wa viongozi wenye akili mufilisi, kama ccm wanaogopa katiba mpya na mihadhara ya kisiasa, ni wakati mzuri tutumia fursa ya Utawala Biden tuombe kibali Cha kuungana na Marekani tuwe Jimbo jipya la Marekani, tuutumie uzoefu huu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kufanikisha hilo kwa haraka na tukwepe kigingi cha madeni yetu hapo baade.
Tuitumie hii fursa haraka, fursa zipo za kukwamua taifa hili kiuchumi.
Tumalize mijadala ya Tozo na mikopo ya kuunga unga.
Kupanga ni kuchagua
Tuitumie hii fursa haraka, fursa zipo za kukwamua taifa hili kiuchumi.
Tumalize mijadala ya Tozo na mikopo ya kuunga unga.
Kupanga ni kuchagua