Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mtoto wa mama eti eeeh?Hata ikitokea marekan ikatangaza fulsa ya kuongeza majimbo zinaweza kwenda nchi zote za afrika ila sio tanzania na sio kwamba sisi tunajua kupiga hesabu vizuri ila huwezi mpeleka nape nauye sehemu ambayo hajui kesho atakua nani
Punguza hasira tufanye petition tuombe kibali cha kuungana na Marekani, tuibadilishe Tanzania.Ni wazo lako hilo na una haki pia
Ila kuwa dhalili kiasi hiki ni options za mwisho kabisa kufikiria haya
Hatuaminiki na nchi yoyote kwa sababu hata wao wanafanya tafiti zao kabla
Hujiulizi kwa nini viwanda vingi sana vya wazungu vipo Asia na sio Africa? (Uaminifu na uchapaji kazi)
Unafikiri Bangladesh wanatuzidi nguvu hapana bali maarifa
Nguo zote za maduka makubwa duniani wengi wanashonesha Bangladesh tena mafundi wanawake
Sisi tukiletewa pikipiki kuunganisha washels na bolt na nuts baadhi hufungi sijui unamkomoa nani?
Je unafikiri mabalozi waliopo nchini hawaoni haya au kazi yao ni kuzurura tu kama mabalozi wetu wasiojua hata kazi zilizowapeleka nje?
Nina hasira hapa we niache tu yaani wizi ndio unatufanye hata miaka 100 mbele tuwe masikini tu
Halafu eti mtu anawaza miaka 10 tu ijayo tutapiga hatua ngapi what a joke [emoji1787]
Tunataka tuwe jimbo au mkoa wa russia au china
Urusi wameanza kwa free entry visa...!
China ni washirika wetu wa kihistoria
Marekani ni ....
Wa tz waaminifu ni wakuhesabu.Ni wazo lako hilo na una haki pia
Ila kuwa dhalili kiasi hiki ni options za mwisho kabisa kufikiria haya
Hatuaminiki na nchi yoyote kwa sababu hata wao wanafanya tafiti zao kabla
Hujiulizi kwa nini viwanda vingi sana vya wazungu vipo Asia na sio Africa? (Uaminifu na uchapaji kazi)
Unafikiri Bangladesh wanatuzidi nguvu hapana bali maarifa
Nguo zote za maduka makubwa duniani wengi wanashonesha Bangladesh tena mafundi wanawake
Sisi tukiletewa pikipiki kuunganisha washels na bolt na nuts baadhi hufungi sijui unamkomoa nani?
Je unafikiri mabalozi waliopo nchini hawaoni haya au kazi yao ni kuzurura tu kama mabalozi wetu wasiojua hata kazi zilizowapeleka nje?
Nina hasira hapa we niache tu yaani wizi ndio unatufanye hata miaka 100 mbele tuwe masikini tu
Halafu eti mtu anawaza miaka 10 tu ijayo tutapiga hatua ngapi what a joke [emoji1787]
I appreciate your sincere wishes. Happy New Year to you as welHappy New Year to you and your loved ones Chillah
Mimi mmoja wapoWa tz waaminifu ni wakuhesabu.
Hakuna haja ya kuomba kibali marekani ambao hawana haja na ardhi za nchi nyingine. Mwambie Putin alete "referendum" na jeshi lake kwa vile urusi ina hamu sana ya kuongeza ukubwa wa ardhi yake kwa kuchukua nchi kutoka nyingine.Malalamiko yamezidi sana kuhusu ugumu wa uchumi, mikopo, na mdororo wa viongozi wenye akili mufilisi, kama ccm wanaogopa katiba mpya na mihadhara ya kisiasa, ni wakati mzuri tutumia fursa ya Utawala Biden tuombe kibali Cha kuungana na Marekani tuwe Jimbo jipya la Marekani, tuutumie uzoefu huu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kufanikisha hilo kwa haraka na tukwepe kigingi cha madeni yetu hapo baade.
Tuitumie hii fursa haraka, fursa zipo za kukwamua taifa hili kiuchumi.
Tumalize mijadala ya Tozo na mikopo ya kuunga unga.
Kupanga ni kuchagua
Wewe mtoto wa Butale unapo pakwenda ndiomana, nchi haitaki mijadala mwenye media sasa tuungane mwasisi wa democrasia tupate unafuu wa fikra na Maarifaunafikiri kwa fikra kama hizi tutaondoka kwenye utumwa wa ccm?