Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
LEO nikisema dungadunga si salama
Mtu anaweza kusema, “Ah, wewe mpinzani tu.”
Lakini kama ningesema miaka kadhaa iliyopita kwamba,
“Jamani, itakuja dungadunga ambayo itakuwa si salama”
na nikataja mambo kadhaa yanayobainisha namna itakavyokuwa,
halafu miaka 10 baadaye hayo yakatokea, ukisema nilikuwa
muongo, hapo kweli kuna mantiki?
Ndugu zangu, hatupingi watu kuwa na afya, lakini wengine tuna maswali
ya msingi ambayo tungependa kujua majibu ili tufanye maamuzi.
Sasa hilo nalo ni kosa?
Hebu msikilize Profesa Pierre Gilbert hapa chini alipoongea
Mwaka 1995 (miaka 26 iliyopita).
Hivi kweli kabisa utasema toka moyoni kwamba alikuwa na ajenda
ya kutaka watu wasipone? Kwamba alikuwa anapotosha watu wa mwaka 2021- miaka 26 baadaye? Kwamba aliwaza,
“Acha niwapotoshe ili wasipate dawa kisha wafe”?
Kweli?
Najua kuwa Fact Checkers wana majibu yao.
Lakini kila mtu na apime na kufanya uamuzi.
Kama ni kudungwa, hakuna anayekuzuia.
Uongozi bora wa mama yetu umetupa hiyari.
Namwomba Mungu kwamba yale asemayo profesa Pierre yasiwe kweli;
Lakini kama ni ya kweli, ni jambo linaloogopesha.
Si mbaya ukiangalia kila siku website ya VAERS.
VAERS ni website ya Marekani inayorekodi athari za dungadunga.
Unaweza kuipata HAPA.
Mathalani, hii hapa ni graph ya VAERS inayoonyesha viwango vya vifo kutokana na dungadunga kuanzia mwaka 1990 hadi mwaka huu. Hebu ona graph ilivyopanda mwaka jana na mwaka huu.
Hii inapatikana kwenye Covid vaccine data HAPA.
Ndugu zangu, data zinaonyesha nini?
Tutakuja kusema nini kwa watoto wetu wajao?
Ee Mungu tusaidie.