Heri uwe nao zaidi ya 10

ila kuna mtu unaweza kuwa naye unaweza kujutia kwa kumkosa,but siku hizi unaza utaachana naye vipi
 
Tatizo ni kuwa watu wengi wanazifumbia macho dalili zinazomtambulisha mtu mwongo (awe mwanamke au mwanaume). Ukiwa makini na kuzisoma details ndogo ndogo za mwenzi wako lazima utaona viashiria vya mtu mlaghai. Watu wengi hupuuzia hivi viashiria halafu wanakuja kushtushwa na tukio la ghafla. Kusoma huwezi basi hata picha...............
 
Jeshimu and ask God for a husband not a lover, I can assure utampata a serious partner in Life, if you want to test like good you will be tested also and no seriousness
 
mara ya kwanza itaonekana unamsingizia,na mtu mwongo mpaka dakika ya mwisho atabisha
 
Jeshimu and ask God for a husband not a lover, I can assure utampata a serious partner in Life, if you want to test like good you will be tested also and no seriousness
Mi mwanaume bro!thanks pia
 
Kuwa na wengi haisaidii.ni kujiongezea matatizo na kujipunguzia heshima yako na kupoteza hao serious wote.Hao kumi utawawekaje?..Tafuta mke na c wanawake.
 
hao wote kumi unawa-handle vipi sasa especially when it comes to intimacy?
 
Kuwa na wengi haisaidii.ni kujiongezea matatizo na kujipunguzia heshima yako na kupoteza hao serious wote.Hao kumi utawawekaje?..Tafuta mke na c wanawake.
ishu sasa kutafute mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…