Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mulhat

Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mulhat

Sunbae

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
254
Reaction score
176
Kipenzi Mulhat Mpunga,

Siku zimesogea siku hizi wanaita siku zamwendokasi na hatimaye leo umetimiza miaka …….katika uso wa dunia hii. Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.

Uko na tabia za kupendeza roho
Tabasamu ya kupapasa macho
Sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo
Urembo wako ulininasa roho
Siku ya kwanza kukuona kwa macho
Sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo
And I feel you in my air when I breath
I see you in my dreams when I sleep
You are the one I have been waiting for all my life
Deep down my heart I believe
Unanifeel, nakufeel, hii ni real
The one I have been waiting for all my life

Happy Birthday mpenzi. Nakupenda sana and I can't wait to see you tonight.

unnamed.gif
 
kheee thank you................. mara paaap nimekumbukwa upande huu maneno haya yatanifanya nitabasamu siku nzima thanx soo very much love huhuu nimefurahi sana hapa natingisha tu kichwa

YOU MADE MY DAY SWEET
 
Heri ya kuzaliwa dada ake. Mwenyezi Mungu akupe kila la kheri katika maisha yako ya kila siku.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
santeeeer mdogo wa mie leo mwanya woote nje haha japo nahisi mod watanilamba ban mda wowote kuna mwanadamu nimemtolea uvivu humu
Hahaaaa. Inabidi hapo Dada wakuangalie kwa jicho la huruma jamaani angalau mpaka baadae kidogo.

Ili ufurahie siku yako muhimu na sisi ndugu zako wa jf.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom