Heri ya kuzaliwa Daktari Emmanuel Nchimbi

Mohamed Ismail

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
224
Reaction score
236
Anaadika Mo Mlimwengu.

Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza na usione vyaelea ujue vyaundwa. Huwa ni nadra sana kupata viongozi washupavu kariba ya Dr Nchimbi. CCM inajivunia uwepo wake kwenye chama kama injini . Ni miongoni mwa watu ambao walipikwa wakapikika na wakaokwa tangu UVCCM na leo hii chama kinajvunia uwepo wake. Utendaji wake wa kazi ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni wa kiueledi na kisomi zaidi.

Dr Nchimbi ni mtendaji ambaye anafanya wanaCCM tujivunie chama chetu. Chama kinaendeshwa kidiplomasia na wala hakiendeshwi kwa matukio. Hii inamfanya Mwenyekiti wetu wa chama Dr Samia Suluhu Hassan kuongoza nchi vizuri kwa kuwa anaye mtendaji mkuu mzuri wa chama. Ukiniuliza ni speech gani ni nzuri nitakuambia tafuta speech za Dr Nchimbi.

Huwa anapangilia hotuba zake haongei kwa sababu inabidi aongee huwa anazungumza kwa sababu ana sababu za msingi za kuzungumza.Atatumia lugha inayoeleweka na atatoa mifano ambayo ni halisi na hataleta mkanganyiko kwa wasikilizaji. Ni mwenye umahiri wa hali ya juu katika kuwasilisha mawazo yake. Wazungu wanasema he is good in public speaking.Na anajua ni wakati upi wa kuzumgumza hili na wakati gani wa kuzungumza lile.

What a leader? Anatufundisha maana ya kiongozi ni nini? Siyo mtu wa kupepesa macho na ni mtu wa kunyoosha mambo kwa kutumia hekima na busara ya hali ya juu. Kwenye uongozi wake CCM inaendelea kujibebea wafuasi wengi ndani ya nchi na nje ya nchi kutokana na chama kinavyoendeshwa kwa dhamira kuliko hisia. Penye mitafaruku huonya na kusahihisha.

Unampa mbaya yeye atakupa nzuri. Ikitokea sintofahamu huweza kuitolea maelezo yaliyokamilika kiasi kwamba hata wapinzani wanakosa cha kusema kutokana na namna anavyodadavua jambo.Waswahili wanasema kawashika vibaya kwa kuwakabia juu.

Heri ya kuzaliwa Daktari Nchimbi ambaye damu ya Nduna Songea Mbano haikumwagika bure kupambana na wadhalimu wa kikoloni.Kamba aliyonyongewa Nduna Songea Mbano akitetea haki na usawa kwa wangoni dhidi ya wakoloni. Ndio Mateso yake hayakwenda bure ni damu ya uzalendo, uthubutu, utu na ujasiri ambayo imejengwa ndani ya Dr Nchimbi.

Kesho ya Tanzania inatia matumaini kwa uwepo wa watu wa kariba yake kwenye uongozi.Maisha ya uongozi ya Nchimbi ni mafundisho kwa mtu yeyote anayetaka kuwa kiongozi na anayetaka kujua uongozi ni nini?

Nikutakie heri nyingi kwenye uongozi wako na nimalizie kwa kusema CCM OYEE, KIDUMU CHAMA TAWALA.

#birthdaywishes
#busarazanchimbi
#hekimazanchimbi.

IMG-20241225-WA0014.jpg
 
Attachments

  • IMG-20241225-WA0030.jpg
    IMG-20241225-WA0030.jpg
    549.3 KB · Views: 6
  • IMG-20241225-WA0013.jpg
    IMG-20241225-WA0013.jpg
    579.3 KB · Views: 4

View attachment 3184339
Naunga mkono hoja, tena nashauri kama HII sauti ni sauti ya kweli, ,then nashauri awe ni Dr. Nchimbi!.

Leo ndio nimejua jina la Emmanuel kwa Nchimbi
lilikotokea, limetoka kwenye Biblia kitabu cha Injili ya Matayo sura ya kwanza mstari wa 23
"Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi".
Alizaliwa na ufalme mabegani mwake!.

Happy Birthday Dr. Nchimbi.

P
 
Mwanaume unamu wish mwanaume mwenzio happy birthday huo ujasiri unatoa wapi?
 
Ila nchimbi bwana, hauko sehem sahii njoo chadema kaka yangu , busara zako huko ccm hawazitaki
 
Ujinga mtupu unatuletea ujinga tumevurugwa na wapiga diri wanyonyaji komaa wewe mjinga
 
Back
Top Bottom