Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Waliopaza sauti na kuhanikiza ,Asurubiwe,asurubiwe ni wale waliokuwa wanafaidika na mfumo wa utawala uliokuwepo wakati ule.Wengine ni wale machawa na wasiojitambua.Hizi ni sherehe zenu nyie mnaokula matunda ya mifumo yenu.Sherekeeni.Wasaalam mpendwa katika JMT πΉπΏ.
Huenda mimi na wewe hatukuwepo wakati Muungano wa πΉπΏ ulipozaliwa, ila leo tumepata Neema ya kuwepo unapotimiza miaka 60. Tumeingia kwenye historia hii kubwa.
Nami nimefika mapema Sana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujumuika kuadhimisha, kusikiliza na kuelimika zaidi juu ya historia hii ndefu.
Heri ya Miaka 60 ya Muungano wa πΉπΏπΉ
View attachment 2974160
View attachment 2974161
View attachment 2974162
bila shaka unatoka kenya hakuna mtanzania mwenye ujasiri kama huu. Kiongozi kwetu huwa ni kupambwa tuππusituletee matatizo kaa huko huko kwenuWaliopaza sauti na kuhanikiza ,Asurubiwe,asurubiwe ni wale waliokuwa wanafaidika na mfumo wa utawala uliokuwepo wakati ule.Wengine ni wale machawa na wasiojitambua.Hizi ni sherehe zenu nyie mnaokula matunda ya mifumo yenu.Sherekeeni.
Usimzibe mwenzio mdomobila shaka unatoka kenya hakuna mtanzania mwenye ujasiri kama huu. Kiongozi kwetu huwa ni kupambwa tuππusituletee matatizo kaa huko huko kwenu
tunajuana mkuu . Hakuna Mtanzania tena kwenye post kama hii ya kiongozi akaja kupinga. Hayupo mwenye huo ujasiri. Zile post za kule juu wale ni watanzania ila huyo jamaa sio kabsa nakataaUsimzibe mwenzio mdomo
SWALI .Habari waziri wetu....mungu abariki muungano wetu..serikali imefanya hatua kubwa kushughulikia kero za muungano kwa Muda wa miaka 60 sasa...swali ni lini serikali itakuja na wazo la kuunganisha hizi serikali ili iwe serikali moja?, kwasababu nchi ni moja kwann tusiwe na serikali moja? Kwann nchi moja imefuta jina lake, haina serikali, lakini kwa nchi ya upande wa pili mpaka sasa wanadai pasipoti kuingia zanzibar tena bila aibu kwenye muhimili wa bunge Tukufu?@Dkt. Gwajima DWasaalam mpendwa katika JMT [emoji1241].
Huenda mimi na wewe hatukuwepo wakati Muungano wa [emoji1241] ulipozaliwa, ila leo tumepata Neema ya kuwepo unapotimiza miaka 60. Tumeingia kwenye historia hii kubwa.
Nami nimefika mapema Sana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujumuika kuadhimisha, kusikiliza na kuelimika zaidi juu ya historia hii ndefu.
Heri ya Miaka 60 ya Muungano wa [emoji1241][emoji257]
View attachment 2974160
View attachment 2974161
View attachment 2974162
Karibia watu wote waliopigania uhuru, na wale wamapinduzi hawapo tena.....wengine ni wazee nguvu zilikwisha muda tu.... ni sisi tuliopo sasa kuelewana, kutoka 2 twende 1.....maisha hayaendi kinyume nyume, hatuwezi kurudi nyuma tena....Huu Muungano kati ya Nyerere na Abeid.Muungano ambao haukuconsult watu wa nchi zote mbili.Muungano gani Zanzibar kuna Rais wake.Tusiosherekea Muungano tujuane.
Asante sana mama kwa kuonesha uzalendo mkubwa na kwa utumishi mzuri! Nipo tayari kushirikiana na wewe katika kujenga nchi yetu.Wasaalam mpendwa katika JMT πΉπΏ.
Huenda mimi na wewe hatukuwepo wakati Muungano wa πΉπΏ ulipozaliwa, ila leo tumepata Neema ya kuwepo unapotimiza miaka 60. Tumeingia kwenye historia hii kubwa.
Nami nimefika mapema Sana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kujumuika kuadhimisha, kusikiliza na kuelimika zaidi juu ya historia hii ndefu.
Heri ya Miaka 60 ya Muungano wa πΉπΏπΉ
View attachment 2974160
View attachment 2974161
View attachment 2974162
πππAhsante, na kwako pia mama.
NB: Katika miaka yote 60 ya Uhuru, Magufuli ndiye Rais anayependwa na Watanzania wengi zaidi.