Heri ya mwaka Marefiki!

Heri ya mwaka Marefiki!

Mbuty

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
411
Reaction score
238
Kipekee nipende kumshukuru Mungu kwakuwa ni kwa neema tu! Mungu ana sababu na anatupenda kuliko sisi tunmavyojipenda wenyewe! Well siku 365 ni nyingi mno lakini ni fupi ukiwa na amani+furaha+marafiki wazuri pembeni yako,sijui dunia ingekuwaje bila marafiki! Asanteni sana na pia naendelea kupokea marafiki,e mail me kwa wvevee@yahoo.com au 0779 13 59 09. Sean,27 Male,Dar es Salaam. Heri ya mwaka mpya!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom