Kipekee nipende kumshukuru Mungu kwakuwa ni kwa neema tu! Mungu ana sababu na anatupenda kuliko sisi tunmavyojipenda wenyewe! Well siku 365 ni nyingi mno lakini ni fupi ukiwa na amani+furaha+marafiki wazuri pembeni yako,sijui dunia ingekuwaje bila marafiki! Asanteni sana na pia naendelea kupokea marafiki,e mail me kwa
wvevee@yahoo.com au 0779 13 59 09. Sean,27 Male,Dar es Salaam. Heri ya mwaka mpya!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums