Heri ya Mwaka Mpya 2025

Heri ya Mwaka Mpya 2025

Dkt. Gwajima D

Minister
Joined
Nov 28, 2015
Posts
966
Reaction score
6,019
Wapendwa Wana Jukwaa letu pendwa, salaam.

Sisi familia ya Advocate Gwajima, tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na upendo wenu kipindi chote cha mwaka 2024.

Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2025 na Baraka tele mwanzo hadi mwisho wa mwaka huu. Tunawaombea na kuwatakia Upendo, Furaha na Amani vikatawale kwenye familia zenu daima, muukatae ukatili kwa nguvu zote na akili zote na fahamu zenu zote, na Mungu wa mbinguni awe pamoja nanyi na mipango yenu yote aifanikishe, Amina✍🏻

Zaidi ya yote, nawashukuru Sana kwa Tuzo ya JF ambayo, umenipa hamasa ya kuendelea kuitumikia jamii yetu huku nikiendelea kwa bidii zote kupokea hoja zenu na maoni yenu na kufanyia kazi na kuendelea kuomba na kuheshimu ushirikiano wenu daima. Hakika, ushirikiano wa jamii ni mtaji na nguzo ya kwanza ya kufanikisha wajibu wetu.

Salaam kwa Uongozi wote wa JF na washirika wake na wafuasi wake wote. Mungu awabariki.

IMG-20241231-WA0026.jpg

Attachments

  • IMG-20250101-WA0013.jpg
    IMG-20250101-WA0013.jpg
    99.5 KB · Views: 2
Ahsante Kwa salamu za mwaka mpya mheshimiwa. Ukawe mwaka wenye heri, furaha, afya njema na mafanikio kwako pia.

Aidha nikupongeze Kwa uwepo wako hapa jukwaani. Ukaendelee kutujuza mambo mbalimbali, mipango ya wizara na kufafanua baadhi ya maswali yanayohitaji maelezo kutoka kwenye wizara unayoiongoza.
 
Hongera sana kwako pia Waziri mchapa kazi usiye na majivuno wala Mideko.

Wapendwa Wana Jukwaa letu pendwa, salaam.

Sisi familia ya Advocate Gwajima, tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na upendo wenu kipindi chote cha mwaka 2024.

Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2025 na Baraka tele mwanzo hadi mwisho wa mwaka huu. Tunawaombea na kuwatakia Upendo, Furaha na Amani vikatawale kwenye familia zenu daima, muukatae ukatili kwa nguvu zote na akili zote na fahamu zenu zote, na Mungu wa mbinguni awe pamoja nanyi na mipango yenu yote aifanikishe, Amina✍🏻

Zaidi ya yote, nawashukuru Sana kwa Tuzo ya JF ambayo, umenipa hamasa ya kuendelea kuitumikia jamii yetu huku nikiendelea kwa bidii zote kupokea hoja zenu na maoni yenu na kufanyia kazi na kuendelea kuomba na kuheshimu ushirikiano wenu daima. Hakika, ushirikiano wa jamii ni mtaji na nguzo ya kwanza ya kufanikisha wajibu wetu.

Salaam kwa Uongozi wote wa JF na washirika wake na wafuasi wake wote. Mungu awabariki.

View attachment 3189670
 
Kwenye suala la kupambana na ukatili wizara ijitahidi sana kuwashirikisha walimu. Ukatili wa kisaikolojia ni hatari sana kuliko wengi wanavyodhani kulinganisha na ukatili wa kimwili.
Happy new year
 
Back
Top Bottom